Browsing Thesis and Dissertations by Title
Now showing items 8-14 of 14
-
Uchanganuzi Wa Athari Za Kigisu Katika Lugha Ya Mazungumzo Kwa Kiswahili, Miongoni Mwa Wanafunzi Wa Shule Za Upili: Mfano Wa Wilaya Ya Mbale, Nchini Uganda.
(2014)The topic deals with the influence of the first language on the learning of a second language. It analyses the influence of Kigisu language on the Proficiency of communicative Kiswahili as a second language, among the ... -
Uchanganuzi wa jinsi ngano Zinavyopitisha elimu ya kazi kwa vijana; mfano wa jamii ya Wanyankole nchini Uganda.
(2015)IKISIRI Utafiti huu unahusu ngano za Wanyankole wanaoishi magharibi mwa Uganda. Ngano za Wanyankole zina kazi mhimu sana kwa vile hufunza vijana kuhusu kazi. Kazi hizo hupitishwa kwa vijana wa Kinyankole kupitia ngano. ... -
Uchanganuzi wa kimofosintaksia wa sentensi za kitooro kwa Mkabala wa Nadharia ya Umilikifu na Unganifu t.
(2014)ABSTRACT This research has dwelt on A morphosyntactic analysis of Rutooro sentences from the perspective of the government and binding theory. A review of Rutooro literature has shown that a lot of writings on Rutooro ... -
Uchanganuzi wa methali za kiswahili kwa mkabala Wa kitendo neni katika kijiji cha kidoti .
(2015)IKISIRI Utafiti huu umechunguza methali za Kiswahili zinazojitokeza katika muktadha wa mazungumzo katika kijiji cha Kidoti Kaskazini Unguja. Mapitio ya maandishi yalidhihirisha kuwa methali za Kiswahili hazikuchunguzwa ... -
Uchanganuzi wa mikakati wanayoitumia mapapasi katika kujifunza lugha ya pili mji mkongwe Zanzibar
(2015)Mapapasi ni watu wenyekumudu kuzungumza lugha mbalimbali za kigeni na kuweza kuzitumia kuwaongoza wageni, hata hivyo mikakati wanayoitumia katika kujifunza lugha hizo bado hazijatambulikana hivyo utafiti huu ulikuwa na ... -
Uchanganuzi wa mofofonimiki wa Lahaja ya Kimakunduchi Julai
(2015)IKISIRI Utafiti huu ulichanganua mofofonimiki ya lahaja ya Kimakunduchi. Licha ya kuwepo tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya lahaja ya Kimakunduchi, mtafiti hakuona utafiti wowote uliofanywa kuchanganua mofofonimiki ... -
Ulinganishi wa kimuundo baina ya ushairi wa Kiswahili na kiarabu katika diwani ya Shaaban Robert na diwani ya Abdul-Aziz Muhammad
(2016)This is a comperative study of the structure of Kiswahili and Arabic Poems from the Anthology of Shaaban and Abdul-Aziz. A review of related literature revealed that no study has been made on comparing ...