Search
Now showing items 1-1 of 1
Uchanganuzi wa methali za kiswahili kwa mkabala Wa kitendo neni katika kijiji cha kidoti .
(2015)
IKISIRI
Utafiti huu umechunguza methali za Kiswahili zinazojitokeza katika muktadha wa mazungumzo katika kijiji cha Kidoti Kaskazini Unguja. Mapitio ya maandishi yalidhihirisha kuwa methali za Kiswahili hazikuchunguzwa ...